STARS YAWASILI MOROCCO
Timu ya Taifa ya Tanzania, “Taifa Stars” imewasili Morocco kwa ajili ya mchezo wa kufuzu Kombe la Dunia dhidi ya Niger utakaochezwa kwenye mji wa Marrakech Jumamosi Novemba 18, 2023.
Stars iliondoka alfajiri ya leo na imewasili salama