MAKUBWA! SIMBA YAWAGEUKIA MAX, AZIZ KI
Na Salum Fikiri Jr
Klabu ya SIMBA imeonesha nia ya kuwataka viungo hatari zaidi kwenye ligi ya Tanzania Max Nzengeli na Aziz Ki
Simba wanaangalia uwezekano wa kumpata Aziz Ki ambaye anamaliza mkataba wake mwishoni mwa msimu
Lwa upande wa MAX Simba walizani yupo kwa mkopo hivyo walijaribu kuongea na klabu yake ya zamani lakini walijibiwa kua ashauzwa kwa YANGA hivyo kama wanamtaka wanatakiwa wakaongee na YANGA... Ngoma ndo imekua ngumu hapo