KOCHA USM ALGER AWA KOCHA MKUU SIMBA
Kocha mpya wa Simba, Abdelhak Benchika aliiongoza USM Alger kuchuka Kombe la Shirikisho baada ya kuifunga Yanga, pia aliiongoza USM Alger kuchukua CAF Super Cup baada ya kuifunga Al Ahly.
Pia amezifundisha Raja Casablanca, RS Berkane, CR Belouizdad, Club Africain.