KIPA WA TAIFA STARS AULA SWEDEN
Golikipa mwenye asili ya Tanzania,Kwesi Kawawa amejiunga na klabu ya Orebro Syrianska IF inayoshiriki ligi daraja la kwanza nchini Sweden akitokea Hammarby Talang.
Kipa huyo alisimama langoni wakati Taifa Stars ilipolala kwa mabao 2-0 dhidi ya Morocco katika uwanja wa Mkapa jijini Dar es Salaam mchezo wa kufuzu kombe la dunia