INJINIA HERSI AWA RAIS WA VILABU AFRIKA
Na Prince Hoza
Rais wa Klabu ya Yanga, Eng. Hersi Said amechaguliwa kuwa RAIS wa kwanza wa Chama cha Vilabu vya Afrika (ACA) huku Makamu wake akiwa ni Jesca Moutang Kutoka Kaizechief Ya Africa Kusini .
Makao Makuu Ya Chama Yatakuwa Nairobi Nchini Kenya .
Mkutano wa kuanzishwa chombo hicho umefanyika Leo jijini Cairo nchini Misri na Hersi anakuwa Rais wa kwanza kwenye historia ya taasisi hiyo.