HUYU NDIO MSANII MPYA WCB
Staa wa Singeli, D Voice Ginnii anakuwa msanii wa nane kutambulishwa na WCB Wasafi, Record Label yake Diamond Platnumz.
Utakumbuka awali WCB iliwatambulisha Harmonize, Rayvanny, Queen Darleen, Rich Mavoko, Lava Lava, Mbosso na Zuchu.