CV YA KOCHA MPYA SIMBA HII HAPA

Kocha mkuu wa Simba SC Tanzania ndiye mwenye profile iliyoshiba zaidi ndani ya Ligi Kuu ya NBC.

Abdelhak Benchika amewaacha mbali sana wenzake Kwa mafanikio katika michuano iliyo chini ya CAF.

Benchika ameshavaa Medal tatu za CAF Hadi sasa ....alitwaa Africa Super Cup baada ya kuwachapa Wydad Athletic Club fainali akiwa na RS Berkane.

Msimu Uliopita alitwaa CAF Confederation Cup baada ya kuwakanda Yanga katika mchezo wa fainali.

Na siku Chache zilizopita alitwaa Africa Super Cup baada ya kuwapa kisago Al Ahly Sporting Club katika mchezo wa fainali akiwa na USM Alger.

Hakuna kocha yoyote anayeweza kaaa meza Moja na Abdelhak Benchika ndani ya Ligi Kuu ya NBC Kwa mafanikio.

Gamondi Kombe lake kubwa ni kufika Nusu fainali CAF Champions League akiwa Wydad Casablanca


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI

STAA WETU: JEREMIA JUMA MTOTO WA JUMA MGUNDA ALIYEIKACHA SIMBA NA KUENDELEA NA UASKARI

MAKALA: SIMBA NI TIMU YA KWANZA TANZANIA KUINGIA NUSU FAINALI AFRIKA