BALEKE KUSALIA MSIMBAZI
Na Salum Fikiri Jr
Klabu ya Simba ipo kwenye hatua za mwisho za kumuongeza kandarasi Jean Baleke ambaye mkataba wake wa mkopo kutoka TP Mazembe unaelekea ukingoni.
Makubaliano kati ya Simba na TP Mazembe ni kuwa Simba itamuongezea kandarasi ya kudumu Jean Baleke ana sio kusaini mkataba tena wa mkopo kutoka TP Mazembe
Klabu ya Simba tayari imeshaandaa kiasi cha Milioni 420 Tsh! Kama ada ya uhamisho wa Jean Baleke kutoka klabu ya TP Mazembe ya nchini DR Congo.