WCB KUTAMBULISHA MSANII MPYA
Records Label ya WCB Wasafi ipo mbioni kumtambulisha msanii mpya ambaye ana kipaji kikubwa, hiyo ni kwa mujibu wa Diamond Platnumz.
"Licha ya ukubwa wa Project zote zilizo ndani Wasafi, ila kiukweli moja ya Project ambayo niko nayo very excited ni kumtambulisha huyu Msanii mpya wa Wasafi, itoshe kusema Tanzania ina vipaji." ameandika Diamond X.