STARS YAZINDUA JEZI ZAKE MPYA
Shirikisho la Soka nchini (TFF), limetambulisha jezi mpya zitakazotumika na timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars).
.
Jezi hizo za aina tatu, ambayo ya nyumbani (Home kit) yenye rangi ya bluu, ya ugenini (Away Kit) yenye rangi ya njano na bluu, pamoja na jezi ya tatu (Third Kit) yenye rangi nyeusi na kijani.