PITSO MOSIMANE AFUTWA KAZI
Uongozi wa klabu ya Al Wahda umemfuta kazi kocha wake mkuu, Pitso Mosimane raia wa Afrika Kusini kufuatia mwenendo usioridhisha wa matokeo katika klabu hiyo iliyopo ligi kuu ya Falme za Kiarabu (UAE).
Hapo jana klabu hiyo ilipokea kichapo cha mabao 3-1 kutoka kwa Shabab Al Ahli
Klabu ya Al Wahda sasa inakamata nafasi ya 6 ikiwa na alama 9 latika ligi kuu nchini humo.