MIQUISSONE AGEUKA LULU SIMBA
Luis Miquissone ni silaha ya maangamizi pale Msimbazi Hadi sasa .
Nyota huyu ndani ya mechi mbili zilizopita za Ligi Kuu ya NBC amechangia alama Sita Kwa Kikosi chake Cha @simbasctanzania .
Aliingia toka benchi katika mchezo dhidi ya Singida Fountain Gate akatoa Assist Kwa Moses Phiri aliyefunga bao la ushindi.
Katika mchezo dhidi ya Ihefu ameingia kutoka benchi ametoa Assist Kwa Moses Phiri Ambaye bila Ajiz akaweka Mpira nyavuni.
Mechi mbili zilizopita za Ligi Simba wamevuna alama (6) Kwa mchango mkubwa wa Luis Miquissone.