MAYELE AENDELEA KUTETEMA MISRI
Mshambuliaji wa zamani wa mabingwa wa soka nchini Yanga SC Fiston Mayele raia wa DR Congo ameendelea kutetema akiwa na klabu yake mya ya Pyramids baada ya kuifungia mabao mawili timu hiyo katika ushindi wa mabao 4-2 mchezo wa Ligi Kuu ya Misri.
Mayele akiyefunga mabao hayo daiika ya 45 na 85 huku mabao mengine yalifungwa na Shami katika dakika ya 48 na Fathi dakika ya 85