IBRAHIM BAKA AREJEA KMKM
Beki kisiki wa timu ya taifa Tanzania (Taifa Stars) na timu ya taifa ya Zanzibar na klabuya Young Africans SC Ibrahim Baka akiwa na wachezaji pamoja na viongozi wa tumu yake ya zamani KMKM SC mara baada ya kumalizika kwa mchezo dhidi ya KVZ FC, ambaouliomalizika kwa KMKM kuwafungo KVZ 2-0 huku KMKM ikiwa pungufu.
Baka aliamua kuwatembelea KMKM timu ambayo ilimtoa kisoka kabla ya kutua Yanga, mchezaji huyo atashiriki kwenye mchezo wa Jumapili dhidi ya Simba utakaofanyika uwanja wa Mkapa jijini Dar es Salaam