DJUMA SHABANI KUONDOKA NA WAWILI AZAM FC
Dirisha dogo la usajili klabu ya Azam itaachana na wachezaji wake wawili (Majina kapuni) ili kupisha maingizo mapya kikosini hapo.
Ingizo la kwanza ni la Djuma Shaaban raia wa Congo DRC ambaye tayari anafanya mazoezi na nyota wengine wa Azam.
Aidha Mlinda mlango wa Tabora United John Noble raia wa Nigeria ambaye alijiunga na nyuki akitokea Enyimba ya Nigeria anatajwa huenda akajiunga na Azam dirisha dogo la usajili kama mipango itaenda sawa.