CAF AWARDS 2023 SASA NI DESEMBA 11
Baada ya juzi kushuhudia usiku wa Ballon d'Or sasa ni muda wa Tuzo za Wachezaji wa Soka Barani Afrika, kupitia ukurasa wa Instagram.
Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF) limeutangaza usiku wa Desemba 11, 2023 kuwa ndiyo utakuwa maalumu kuwapa tuzo waliofanya vyema kwenye soka mwaka huu.