TIMU YA PAPE SAKHO WA SIMBA HOI UFARANSA


Timu Iliyomsajili Pape Sakho, QR Metropole ya Ufaransa Inayoshiriki Ligi Daraja La Pili Nchini Humo Imecheza Michezo 8 Ya Ligi 2, haijashinda Hata Mmoja, Imetoa Sare 2, na Kukung'utwa 6, Ikifunga Magoli 6 na kupigwa Magoli 12, Ikiwa na points 2 Pekee, Points Zinazoisaidia Timu ya Pape Sakho Kushika Mkia Katika ligi hiyo.

Katika michezo hiyo 8, Kijana Machachari Pape Sakho Hajaona Hata Dakika 1, Hata Benchi Hajawahi Onja katika michezo hiyo 8 hadi sasa.





Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FIFA yatoa orodha ya vilabu bora duniani, Simba na Yanga zachuana vikali

Beno Ngassa mdogo wa Mrisho Ngassa anayekipiga Tanzania Prisons

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI