SIMBA WASHINDWE WENYEWE KWA POWER DYNAMOS

Na Ikram Khamees

Mabingwa wa Zambia Power Dynamo watakosa huduma ya wachezaji wake muhimu wa kikosi cha kwanza katika mchezo wa mkondo wa pili wa klabu bingwa dhidi ya Simba SC Tanzania utakaochezwa Jumapili hii.

Nyota hao ni goli golikipa Lawrence Mulenga na Dominic Chanda, Lawrence aliumia vibaya na kuwahishwa hospitali katika mechi dhidi ya Zesco, Mulenga aligongana Kelvin Kamapamba na kupoteza fahamu.

Kwa upande wa beki wa kati wa klabu hiyo Dominic Chanda yeye alionyeshwa kadi nyekundu katika mkondo wa kwanza wa michuano hiyo uliochezwa Zambia na timu hizo kutoka sare.


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI

STAA WETU: JEREMIA JUMA MTOTO WA JUMA MGUNDA ALIYEIKACHA SIMBA NA KUENDELEA NA UASKARI

MAKALA: SIMBA NI TIMU YA KWANZA TANZANIA KUINGIA NUSU FAINALI AFRIKA