SIMBA WAJIFUA VIKALI KUIUA POWER DYNAMOS
Kikosi cha wachezaji wa Simba SC wanaendelea kujiandaa, kujipima na kuangalia wapi kuboresha kuelekea mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika.
Kikosi hicho kinajifua katika uwanja wake wa Mo Simba Arena uliopo Bunju B nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam