NYOTA YANGA KAMILI KUIVAA EL MERREIKH
Wachezaji wa Kikosi cha Yanga wameanza mazoezi ya kujiandaa na Mchezo wa marudiano wa Kufuzu hatua ya Makundi ya #CAFChampionsLeague dhidi ya El Mereikh ya Sudan utakaopigwa Septemba 30,2023 kwenye Uwanja wa Chamazi kuanzia saa moja kamili jioni.
Beki wao wa kushoto,Joyce Lomalisa amepona maumivu aliyoyapata kwenye Mechi ya Yanga dhidi ya Namungo FC na yupo fit kwaajili ya kuwatumikia Wananchi.
.