MWONEKANO WA UWANJA UTAKAOJENGWA ARUSHA KWA AJILI YA AFCON
Mwonekano wa uwanja mpya wa Arusha utakaojengwa na serikali jijini Arusha ikiwa sehemu ya maandalizi ya kuandaa Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (Afcon) 2027 ikishirikiana na Kenya na Uganda.
Uwanja huo utakaojengwa katika Kata ya Olmoti utakuwa na uwezo wa kuingiza mashabiki 30,000 waliokaa.