MAJOGORO AWA MCHEZAJI BORA SAUZI
Mtanzania Baraka Majogoro (26) hapo jana aliibuka Mchezaji bora wa mechi ya Ligi Kuu ya Afrika Kusini πΏπ¦ wakati timu yake ya Chippa Utd ikiibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Super Sport Utd.
Chippa Utd bila Majogoro
π€ Kaizer Chiefs 0-0 Chippa Utd
π€ Chippa Utd 0-0 Ts Galaxy
π€ Chippa Utd 1-1 Orlando pirates
❌ Chippa Utd 0-2 Mamelodi
Chippa wakiwa na Majogoro
✅ Cape Town Spurs 0-1 Chippa Utd (90')
❌ Chippa Utd 2-3 Royal AM (90')
✅ Richards Bay 1-2 Chippa Utd (90')
✅ Chippa Utd 1-0 Super Sport (90')
Chippa Utd wanashika nafasi ya 4️ kwenye Msimamo wa Ligi Kuu ya Afrika Kusini wakiwa na alama 12 katika mechi 8️ walizocheza hadi sasa.