KWA TIZI HILI LA EL MERREIKH YANGA AKICHOMOKA JEURI
Kikosi cha El Mereikh kimefanya mazoezi yake jioni ya leo kwenye Uwanja wa Azam Complex tayari kwa Mchezo wao wa Marudiano wa Kufuzu hatua ya Makundi ya #CAFChampionsLeague dhidi ya Yanga SC hapo kesho.
.