KOCHA EL MERREIKH AKIRI WATAPATA USHINDI DHIDI YA YANGA
"Young Africans SC ni miongoni mwa timu zinazoogopwa kwa sasa Barani Africa. Sisi Al-Merrikh tutawaheshimu lakini hatutakaa nyuma, kama Yanga waliweza kupata magoli mawili ugenini hata sisi tunaweza kupata magoli mawili ugenini, Dar es Salaam."
Osama Nabieh,Kocha wa klabu ya Al-Merrikh