YANGA KUANZIA UGENINI LIGI YA MABINGWA
Na Ikram Khamees
Taarifa njema kwa Mashabiki wa Yanga ni kuwa mchezo wao unaofuata wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Al Merreikh wataanzia ugenini kisha kumalizia nyumbani.
Klabu ya Al Merreikh wanatumia mechi zao za nyumbani katika nchi ya Rwanda hivyo Yanga wataenda Rwanda kisha kumalizia Tanzania.