WANGEBAKI WCB WANGEKUWA MBALI ZAIDI- MKUBWA FELLA
Mkubwa Fella amesema Baada ya Harmonize na Rayvanny kutoka WCB wanajitahidi kwa kiasi chake japokuwa siyo kama walivyowatabiria wao, amesema kama wangebakia WCB wangekuwa mbali zaidi ingawa bado hawako nyuma.
Mkubwa ambaye ni Meneja wa WCB ameongeza kuwa Rayvanny anajitahidi zaidi kuliko Harmonize.