TIMU YA BARAKA MAJOGOLO YAPATA USHINDI AFRIKA KUSINI

Kiungo wa kimataifa Rastaman Baraka Gamba Majogoro Jana amecheza mchezo wake wa kwanza CHIPPA United dhidi ya na timu ya ,imepata ushindi wake wa kwanza katika ligi kuu ya Afrika kusini kwa mara ya kwanza.

Klabu yake imecheza mechi Tano wamepata sare tatu dhidi ya Orlando Pirates,TS Galaxy pamoja na Kaizer Chiefs Jana yeye ndiyo mchezo wake wa kwanza na amecheza kwa dakika zote 90 timu yake Chippa United imepata ushindi wa kwanza kwa kumfunga Cape Town Spurs kwa goli moja kwa sifuri.


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI

STAA WETU: JEREMIA JUMA MTOTO WA JUMA MGUNDA ALIYEIKACHA SIMBA NA KUENDELEA NA UASKARI

MAKALA: SIMBA NI TIMU YA KWANZA TANZANIA KUINGIA NUSU FAINALI AFRIKA