SIMBA YAACHANA NA BANDA
Mchezaji Peter Banda baada ya kuachana klabu ya Simba Sc, njiani kuhamia FC Kyrvbas.
Mpaka wakati huu mazungumzo yamekamilika kuhusu uhamisho wake Peter Banda.
Anachosubiria ni visa yake ya kusafiri kwenda Ukraine, inaelezwa itakuchukua hadi mwezi mmoja.