MAYELE APIGA HAT TRICK UTURUKI
Mshambuliaji mpya wa timu ya Pyramids ya Misri amefunga mabao matatu peke yake hat trick katika mchezo wa kirafiki ambapo Pyramids i
iliifunga mabao 7-0 Varsak ya Uturuki.
Mabao mengine ya Pyramids yaliwekwa kimiani na Abdallah El Said, Mohamed Redaa na Ibrahim Adel