KRAMO AOMBA KUONDOKA SIMBA, KISA YAO, PACOME
Na Abdul Makambo
Taarifa zikufikie inasemekana kiungo mshambuliaji Aubin Kramo raia wa Ivory Coast ameuomba uongozi wa klabu ya Simba wamruhusu aondoke klabu hiyo arudi kwao au wamtoe kwa mkopo kwa sababu kuna mambo hayaelewi kwenye timu hiyo.
Kramo anadai ka inapofika siku ya mechi anajikuta anaumwa alafu mechi ikiisha anakuwa sawa.
Mchezaji huyo jana ameanza mazoezi na wenzake lakini hana raha tangu alipojiunga na Wekundu hao wakati anawaona marafiki zake Kouassi Yao Attohoula na Zouzoua Pacome waliopo Yanga wanafurahia maisha