KMC YASHUSHA KIFAA KINGINE KUTOMA SOMALIA
Klabu Ya KMC Imekamilisha usajili wa kiungo wa Horseed Sc ya nchini Somalia.
Abdulkarrim na chama lake la zamani la Horseed Sc walitolewa na APR ya Rwanda katika hatua ya awali ya CAFCL..
Ujio wake ni kutokana na ushawishi wa kocha wa KMC Moalin mwenye asili ya Somalia pia..
KMC wanapika kitu, mtu akiingia 18 zao atapokea kichapo cha kulipa mkono walioupokea kutoka kwa Wananchi Yanga SC