KIKOSI CHA STARS CHAITWA, CHAPAA TUJISIA
Na Prince Hoza
Kikosi cha Timu ya Taifa “Taifa Stars” kimeondoka leo kuelekea Tunis, Tunisia kwa Kambi ya kujiandaa na mchezo wa marudiano kufuzu AFCON dhidi ya Algeria utakaochezwa Septemba 7, 2023 Algeria.
.
Wachezaji waliojumuhishwa kwenye kikosi hicho ni pamoja.
01. Beno Kakolanya — Singida
02. Metacha Mnata — Yanga
03. Erick Johora — Geita
04. Ibrahim Bacca — Yanga
05. Bakari Mwamnyeto — Yanga
06. Dickson Job — Yanga
07. Mzamiru Yassin — Simba
08. Sospeter Bajana — Azam
09. Clement Mzize — Yanga
10. Kibu Denis — Simba
11. Himid Mao — El Gaish
12. Mudathir Yahya — Yanga
13. Abdul Selemani Sopu — Azam
14. Abdulmalik Zakaria — Namungo
15. John Bocco — Simba
16. Kennedy Juma — Simba
17. Lameck Lawi — Coastal Union
18. Jonas Mkude — Yanga
19. Morice Abraham — Sobutica
20. Haji Mnoga — Aldershot
21. Ben Starkie — Basford
22. Simon Msuva — JS Kabylie
23. Novatus Dismas — Zulte Waregem
24. Mbwana Samatta — PAOK
25. Abdi Banda — Richards Bay