JKU YAMUONDOA PLUIJM SINGIDA FG
Klabu ya Singida Fountain Gate Fc, imethibitisha kuachana na Kocha wao Hans van der Pluijm kwa makubaliano ya pande zote mbili
Kupitia taarifa yake kwa umma Singida Fontaine Gate imebainisha kuwa hivi sasa Timu hiyo itakuwa chini ya Kocha Msaidizi Mathias Lule mpaka pale itakapoamuliwa vinginevyo.