JKU YALIPA KISASI, LAKINI SINGIDA WAMEFUZU RAUNDI YA KWANZA
Na Ikram Khamees
Licha ya kupata ushindi wa mabao 2-0 JKU imeondolewa katika michuano ya kombe la Shirikisho barani Afrika hasa baada ya kufungwa kwa jumla ya mabao 4-3 na timu ya Singida Fountain Gate.