GAMONDI ANATAKA KUFUNGA GOLI 10
Na Ikram Khamees
Kocha mkuu wa klabu ya Young Africans Sports Club amefunguka na kusema kwamba bado yupo kwenye maandalizi na anategemea kufanya vizuri zaidi...
.
"Siyo lengo langu kufunga magoli matano kila mchezo, lakini wachezaji wangu wana njaa ya magoli .."
"Mimi ninataka timu yangu ishambulie na kuzuia vizuri muda wote na ifunge magoli mengi huku ikicheza soka safi .. Bado tupo kwenye process mbeleni itacheza vizuri zaidi" - Miguel Gamondi, Kocha mkuu wa Yanga SC
Kwamba 5G hajaridhika anataka yafike 10 au ?