FEITOTO SIO PENDEKEZO LA KOCHA- KIEMBA

Na Salum Fikiri Jr

“Mechi dhidi ya KMC ,Mkude na Lomalisa hawakuwa sehemu ya kikosi na walikaa jukwaani kabisa ,mechi ya juzi dhidi ya Asas Mkude alianza hapa utaona, Yanga ina wachezaji wengi wazuri na ina kocha mzuri kwa sababu kama Kocha sio mzuri ni ngumu kuwa manage hawa Wachezaji “

“Mimi nasema tu Yanga wana Kocha mzuri na atawapa kitu msimu huu”

“Popat akiamka asubuhi anaenda wapi ? inawezekana akawa na ofisi sehemu nyingine je akienda anafanya kazi za Klabu au kazi zingine ?”

“ Klabu inahitaji mtu ambaye ni full time sio akimaliza huku anarudi huku ? “

Shaffih Dauda
Mchambuzi wa Clouds fm

"Usajili wa Feisal ameupendekeza yeye (Dabo) ? Prisca ameuliza Kocha ni sehemu ya tatizo mimi nasema hapana tatizo ni mfumo angalia hata Wachezaji wakiingia Azam ule upambanaji unashuka anacheza lakini sio kiivyo ,mimi naona Azam shida ni mfumo na sio watu"

“Hivi unajua kama mechi ya kwanza ya mashindano list ya wachezaji Kocha aliletewa akaibishia akaweka yake na ikafungwa “


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI

STAA WETU: JEREMIA JUMA MTOTO WA JUMA MGUNDA ALIYEIKACHA SIMBA NA KUENDELEA NA UASKARI

MAKALA: SIMBA NI TIMU YA KWANZA TANZANIA KUINGIA NUSU FAINALI AFRIKA