DJUMA SHABANI KUJIUNGA AZAM FC
Na Salmin Mrisho
Baada ya klabu ya Yanga kuachana na nyota wake kutoka DRC Congo , Djuma Shaban mchezaji huyo yupo mbioni kujiunga na Azam Fc .
Makubaliano binafsi tayari , nyota huyo anaweza kutambulishwa mda wowote kuanzia sasa .