WAISLAMU NIGERIA WAMJIA JUU MCHEZAJI WA TIMU YA WANAWAKE KUVUA JEZI
Waumini wa Dini ya kiislamu nchini Nigeria wamelani kitendo cha Mchezaji wa Timu ya Taifa Nigeria Asisat Oshoala baada ya kuvua jezi wakati anashangilia goli alilolifunga dhidi ya Australia kuwa ni kinyume na dini yao.
Waislamu hao wameomba FIFA waifute video hiyo na timu ya Taifa ya Nigeria wapokonywe point 3 na wapewe timu ya Taifa ya Australia.