SIMBA WAKABIDHI MAHITAJI MUHIMU SHULE YA MSINGI SINZA MAALUM

Simba SC leo wametembelea Shule ya Msingi Sinza Maalum na kutoa msaada wa mahitaji mbalimbali ya kibinaadamu kama ambavyo tunafanya kila mwaka.

Kila inapofika wiki ya Simba mpaka kufika kilele chake cha Simba Day huwa tunakuwa na matukio mbalimbali ya kurejesha kwa jamii.


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FIFA yatoa orodha ya vilabu bora duniani, Simba na Yanga zachuana vikali

Beno Ngassa mdogo wa Mrisho Ngassa anayekipiga Tanzania Prisons

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI