SIMBA KUREJEA AGOSTI 2

Kikosi cha Simba SC kinatarajia kurejea nchini Agosti 2 kuelekea na maandalizi ya mwisho kuingia msimu mpya wa 2023/24 ikiambatana mchezo wa kirafiki kwenye tamasha la Simba Day pamoja na michezo ya Ngao ya Jamii itakayochezwa CCM Mkwakwani, Tanga.

Simba SC itacheza mchezo wa mwisho wa kirafiki wakiwa nchini Uturuki leo saa kumi na mbili jioni baada ya hapo wataendelea na program za mazoezi pekee kabla ya kurejea nchini.


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI

STAA WETU: JEREMIA JUMA MTOTO WA JUMA MGUNDA ALIYEIKACHA SIMBA NA KUENDELEA NA UASKARI

MAKALA: SIMBA NI TIMU YA KWANZA TANZANIA KUINGIA NUSU FAINALI AFRIKA