Rasmi Sadio Mane amfuata Ronaldo
Sadio Mane amekamilisha usajili wake kujiunga na klabu ya Al Nassr kutoka Saudia kuelekea msimu ujao.
Bayern Munich wamemalizana na Al Nassr kuhusu malipo ya uhamisho huo, kilichosalia ni vipimo vya afya ambavyo wiki ijayo vitafanyika ili kukamilisha dili hilo.