RASMI, KIPA MBRAZIL WA SIMBA NJE MIEZI 6
"Ni kweli amepata changamoto, ni kweli kama unavyosema huwa tunawapima Wachezaji, lakini kumbuka Kuumia si jambo la mchakato ni jambo la mara moja"
"Alikuja mzima kabisa lakini ameumia mazoezini, na atakaa nje kwa zaidi ya miezi (6). Tutatoa taarifa kuwajuza, tuko tunapambana kutafuta golikipa mwingine"