MRITHI WA MGUNDA MBIONI KUTUA SIMBA
Aliyekuwa kocha msaidizi wa kocha Robertinho kipindi wakiwa ndani ya klabu ya Vipers ya Uganda Marcelo Cardoso, anatua Simba sc kuvaa Viatu vya Juma Mgunda,
Taarifa zinathibitisha kuwa Marcelo ndio kocha Msaidizi wa kikosi wa Simba baada ya Mazungumzo ya pande zote mbili kwenda sawa.