MAYELE ATAMBULISHWA PYRAMIDS
Klabu ya FC Pyramids imetangaza kukamilisha Usajili wa aliyekuwa Mshambuliaji hatari wa Klabu ya Yanga SC, Fiston Mayele kwa Mkataba wa Miaka mitatu.
Mayele mwenye umri wa Miaka 29 ameuzwa na Yanga SC baada ya kuwapa Mafanikio makubwa Klabu hiyo ya Tanzania.