KONKANI AJIUNGA NA YANGA
Klabu ya Yanga imethibitisha kukamilisha usajili wa mshambuliaji raia wa Ghana Hafidh Konkani kwa Mkataba wa miaka miwili.
Konkani (23) akiwa na Benchem Utd msimu uliopita alifanikiwa kufunga mabao 15 katika Ligi Kuu ya Ghana.
Mfungaji namba mbili wa ligi kuu ya Ghana anamiaka (23)
Mechi 27
Goal 15
Assist 4
Anacheza timu ya taifa ya Ghana