CEO AZAM FC ATEMBELEA KWA MAN UNITED, CITY NA SPURS KUJIFUNZA

Mara baada ya kumaliza zoezi la usajili, Ofisa Mtendaji Mkuu wa Azam FC Abdulkarim.Amin "Popat", ametua Makao Makuu wa Manchester United kwa ziara maalum ya kujifunza.

CEO Abdulkarim Amin, ametinga kwa miamba hiyo ya England, akiwa amevalia uzi mpya bora na wa viwango wa Azam FC.

Mbali na kufanya ziara ndani ya viunga vya Old Trafford kwa wababe hao wa jiji la Manchester, pia atatembelea kwa mabingwa wa EPL na UEFA, Man City na Totenhan Spurs lengo likiwa ni kujifunza mambo mbalimbali yahusuyo soka kutoka kwa miamba hiyo.


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI

STAA WETU: JEREMIA JUMA MTOTO WA JUMA MGUNDA ALIYEIKACHA SIMBA NA KUENDELEA NA UASKARI

MAKALA: SIMBA NI TIMU YA KWANZA TANZANIA KUINGIA NUSU FAINALI AFRIKA