YANGA YAMALIZANA NA KIBABAGE
Klabu ya Yanga SC imefikia makubaliano ya kumsajili beki wa kushoto wa Singida Fountain Gate FC, Nickson Kibabage kwa mkataba wa miaka mitatu.
Kibabage (22) Alikuwa pendekezo la kocha Nabi ambapo amepitishwa na kocha mpya wa klabu hiyo Miguel Ángel Gamondi.
Nickson Kibabage Aliwahi kupita Katika Vilabu vya Mtibwa Sugar, KMC FC.