YANGA YAFUNGIWA NA FIFA
Klabu ya Yanga SC imekumbwa na adhabu ya kufungiwa kufanya usajili wa Wachezaji baada ya kushindwa kumlipa aliyekuwa kocha mkuu wa timu hiyo Luc Eymael malipo yake ya kufutwa kazi.
Wakili wa kocha huyo wa Ubelgiji alithibitisha taarifa hiyo baada ya uamuzi huo kuwasilishwa na FIFA siku ya Jumapili.