WAZIRI WA MAMBO YA NDANI AIFAGILIA SIMBA
“Kwa hiki ninachokiona sasa, naamini Simba itakuwa imara zaidi msimu ujao. Niliangalia mchezo dhidi ya Wydad Casablanca tuliwatoa jasho kule kwao, kuna vitu vidogo tunatakiwa kuviongeza. Kama kuna vitu vinahitajika kwa ajili ya jambo hilo tuko tayari kusaidia,”
Hamad Masauni, Waziri wa Mambo ya Ndani.