KIPA LA MPIRA TANZANIA PRISONS AAGA UKAPERA
Mchezaji Benedict Tinoco (golikipa) wa Tanzania Prisons amemvisha pete ya uchumba Martha Mboya katika Kijiji cha Marangu mkoani Kilimanjaro.
Tinoco na mchumba wake wana mtoto wa kike anayeitwa Regina Tinoco mwenye umri wa miaka mitatu (3) na miezi miwili (2).